Sunday, August 20, 2006


Siasa za Coasti zimebamba mpaka Prezzy Kibaki na wife Lucy wamepiga kambi huko Mombasa na Garsen(read Mungatana) wa Narc-Kenya kuzirusha Katyusha kuichapa ODM ya kina Raila..

Swali: je ataiweza ODM?